Msichana Mjasiriamali Tanzania kupitia kilimo

DW Kiswahili
DW Kiswahili
152.5 هزار بار بازدید - 6 سال پیش - Alianzia kilimo kwa kutegemea soko
Alianzia kilimo kwa kutegemea soko la nchi yake, lakini baadaye akakitanua kilimo chake na kuyalenga masoko ya kimataifa. Kwa sasa anauza mazao kama maharagwe na njegere hadi Ulaya. Ujumbe wake kwa vijana ni kwamba kuna fursa kila mahali
6 سال پیش در تاریخ 1397/07/06 منتشر شده است.
152,536 بـار بازدید شده
... بیشتر