WIMBO WA FAMILIA WA KUCHEKA @babusakids @babusatv #children #childrenrhymessongs

Babusa TV
Babusa TV
51.5 هزار بار بازدید - 9 ماه پیش - WIMBO WA FAMILIA WA KUCHEKA
WIMBO WA FAMILIA WA KUCHEKA ni wimbo wa kuwaonyesha watoto umuhimu wa familia inayojumuika pamoja na kufurahika pamoja kwa kucheza na kucheka. Wimbo huu unalenga kufundisha msamiati wa familia kama vile baba, mama, kaka, dada, mtoto, babu na nyanya. Ukitaka kuupata wimbo huu katika lugha ya Kiingereza THE FAMILY LAUGHING SONG basi bofya linki    • The Family Laughing Song  
9 ماه پیش در تاریخ 1402/09/25 منتشر شده است.
51,508 بـار بازدید شده
... بیشتر