Mchuzi wa papa wa nazi | Jinsi yakupika mchuzi wa nazi wa papa mtamu na kwa njia rahisi sana.

Rukia Laltia
Rukia Laltia
16.5 هزار بار بازدید - 3 سال پیش - #mchuziwapapawanazi
#mchuziwapapawanazi #mchuziwanaziwapapa #mchuziwapapa

Website:rukiaskitchen.com
Instagram: rukias _kitchen
Facebook: Rukias kitchen
Cookpad: Rukias kitchen.

English recipe press the link ➡️ Dry shark fish in coconut sauce | Shark fish stew | Mchuzi wa papa wa nazi in English. Dry shark fish in coconut sauce | Sha...

Mahitaji:-
Papa
Tui zito kikombe nusu
Tui jepesi kikombe 1 1/2
Tomato 🍅 3
Pilipiliboga
Dania / giligilani
Kitunguusaumu na tangawizi kijiko chakula
Limau 1
Manjano
Kitunguu maji 1
Chumvi
Pilipilimanga
Currypowder
Royco
3 سال پیش در تاریخ 1400/02/29 منتشر شده است.
16,555 بـار بازدید شده
... بیشتر