Ifahamu Adobe Premiere Pro Sehemu ya Kwanza

Richstar
Richstar
29.4 هزار بار بازدید - 8 سال پیش - Video hii inaeleza kwa ufupi
Video hii inaeleza kwa ufupi Mamb ya msingi ya kuyajua kabla ya kuanza kuitumia Adobe Premiere Pro mambo hayo ni

Jinsi ya Ku create new Projects
Jinsi ya Ku import files ikiwemo video/au picha
Jinsi ya Ku add/kuiweka clip yako katika timeline na kuwekea effects
Jinsi ya Kukata clip na Kuondoa sehemu usizokuwa na matumizi nazo

Kumbuka kuacha ushauri wako kwa maana ndiyo utakao changia maendeleo zaidi pia usisahau ku LIKE, SUBSCRIBE na Kushare video za channel hii asante sana

~-~~-~~~-~~-~
Please watch: "Jinsi ya Kutumia Photoshop CS6 kwa mara ya kwanza(Beginners) SEHEMU YA 1"
Jinsi ya Kutumia Photoshop CS6 kwa ma...
~-~~-~~~-~~-~
8 سال پیش در تاریخ 1395/05/22 منتشر شده است.
29,417 بـار بازدید شده
... بیشتر