FREE COURSE: Mafunzo ya Adobe Premiere Pro Lugha ya Kiswahili

Joel Media
Joel Media
4.9 هزار بار بازدید - 3 سال پیش - Website yetu:
Website yetu: https://www.joelmediaeducation.com/

Katika video hii nimefundisha karibu kila kitu ambacho unahitajib kukijua na kukifanya unapoaanza na kumaliza project ndani ya Adobe premiere pro, ndiyo ni mafunzo ya video editing ambayo yanamfaa yeyote anayetaka kujifunza video editing hata kama hajawahi kabisa kujua na kugusa premiere pro.

Ni course fupi ambayo ni project based namaanisha utajifunza kwa kutumia project halisi ya Tangazo la kampuni ya bidhaa mbalimbali za ngozi. Ni video ya dakika moja tu lakini kupitia hiyo nimeeleza mbinu nyingi sana muhimu ambazi unaweza kuzitumia ili kufanikiwa kuedit na kutoa video nzima ambayo ni amazing

Timecode
0:00- Intro
0:54-Who supported the project?
1:29-Final video replay
2:29-Outro
2:59- Project idea and preperation
4:59- Briefy on video Segments
5:01- Adding clips, kustablize, kuad transition, Audio editing, Adding titles and text, color correction and grading, exporting video
6:51-creating new sequence & adding clip
30:49- Audio editing
23:33-Stablize clip
38:35-Adding titles and text
43:51-Color grading and color correction
47:50-Video exporting
50:54-Replay Final video
51:51- Conclusion

Tazama zaidi video hizi zitakusaidia

Fahamu namna ya kutumia adobe premier pro sehemu ya kwanza Fahamu namna ya kutumia adobe premier...

 :Selective Color Grading ndani ya Premiere ProSelective Color Grading ndani ya Prem...

Jinsi ya Kufanya Color Grading ndani ya Adobe premiere Pro Jinsi ya Kufanya Color Grading ndani ...

Jinsi ya kusycronize audio ndani ya Premiere proJinsi ya kusycronize audio ndani ya P...

Jinsi ya kuexport Video Quality kwa kutumia Premiere Pro Jinsi ya kuexport Video Quality kwa k...

Jinsi ya kutengeneza ROLLING FILM CREDIT ndani ya Premiere Pro Jinsi ya kutengeneza ROLLING FILM CRE...


Acha maoni yako hapo chini juu ya kozi hii Fupi
Naitwa Joel




Nifollow
Instagram: Instagram: joemediagroup_
Facebook​ https://linktr.ee/joemediagroup_
Twitter:​ https://linktr.ee/joemediagroup_​
Whastapp: https://linktr.ee/joemediagroup_​
3 سال پیش در تاریخ 1400/05/31 منتشر شده است.
4,982 بـار بازدید شده
... بیشتر