Dimbi limetulia, usilitibuwe! – Kitimtim | Maisha Magic Bongo

Maisha Magic Bongo
Maisha Magic Bongo
189.7 هزار بار بازدید - 4 سال پیش - Baada ya njama za Dazuu
Baada ya njama za Dazuu na Zunde za utekaji, ni kama Dazuu ametekwa! Ndugu yake, ametaabika sana, anataka kuripoti kesi ya kutoweka kwa Dazuu kwa polisi! Pili anampa mume wake ushauri wa busara lakini Tabu, ameleta ushauri wa kukimbilia waganga! LO! Ilikuwaje?
---
Endelea kutizama DStv chaneli 160
Official Website: https://maishamagicbongo.dstv.com/
Watch more series and movies on Showmax, start your 14 day free trial here: https://bit.ly/36PFSr0
Instagram: Instagram: maishamagicbongo
Twitter:Twitter: MaishaMagicTZ
Facebook: Facebook: MaishaMagicBongo
4 سال پیش در تاریخ 1399/02/31 منتشر شده است.
189,745 بـار بازدید شده
... بیشتر