SIRI ZA FAMILIA S1 EP35

JASONS TV
JASONS TV
172 هزار بار بازدید - 5 سال پیش - Mtoto wa Sheila anamuulizia Baba
Mtoto wa Sheila anamuulizia Baba yake.  Mama carlos na Shaka Zulu walaumiana juu ya Sheila na Carlos. Kulikoni?  Dayana Kalazwa Hospitali, Kulikoni?  Tony na Mwanasheria wake Roberti, Bado wanatafuta ukweli. Why Mama hataki Carlos awe karibu na Abdul?  Abdul anaikimbia Ofisi? Tony na Dayana, mapenzi kama yote. Ugomvi wa Sheila na Carlos juu ya Dayana. Endelea kuangalia.
5 سال پیش در تاریخ 1398/05/04 منتشر شده است.
172,022 بـار بازدید شده
... بیشتر