jinsi ya kuondoa background ya picha kwa kutumia adobe photoshop

Joel Media
Joel Media
1.1 هزار بار بازدید - 5 سال پیش - Katika video hii nmefundisha namna
Katika video hii nmefundisha namna ya kutumia adobe photoshop katika kuondoa background ya picha, nimetumia njia inayoitwa refine adge (select mask) njia ambayo ni nzuri sana kwani ni rahisi na inaleta matokeo mazuri.

Picha hizo zinaweza kua kwaajili ya matumizi mbalimbali kama vile passport size, posters, print photo pamoaja na picha za matangazo

I do ** Design Logo | Id Card |Sticker |Calender | Flyers| Posters |Product label | Banners and all issues related to |Graphics Design | Photography and Videography |
For inguries
Call 0745 152 680 /0653 152 680 /0627 150 780 | Instagram | Facebook | Twetter | Youtube search joemediagroup |
/DESIGN / PRINTING / BRANDING
5 سال پیش در تاریخ 1398/08/20 منتشر شده است.
1,178 بـار بازدید شده
... بیشتر