Jinsi ya kuoka vileja au biskuti bila oven wala mayai

Shuna's Kitchen
Shuna's Kitchen
80 هزار بار بازدید - 6 سال پیش - ingredients 1/2 cup butter -
ingredients
1/2 cup butter - 115g
1/2 icing sugar 62g
✔watch homemade icing sugar here: Jinsi ya kutengeneza Icing Sugar nyum...
1 cup to 1 1/4 cup plain flour (128 - 160g)
1 tsp lemon zest
___________________ shuna's kitchen

Mahitaji
nusu kikombe siagi - 115g
nusu kikombe icing sugar 62g
✔angalia jinsi ya kutengeneza icing sugar nyumbani hapa 👉 Jinsi ya kutengeneza Icing Sugar nyum...
Unga wa ngano kikombe 1 mpaka kimoja na robo (128 - 160g)
maganda ya limau ya kuparwa kjk 1
_______________shuna's kitchen

✔For more updates please join my social media family ❤
▫instagram: @jifunze_mapishi 👉 Instagram: jifunze_mapishi

▫Facebook jifunze mapishi 👉 Facebook: shunaskitchen
__________________________________________

✔For business enquiry only : [email protected]
_____________________________________

✔More videos to watch;
🔴✅ Jinsi ya kupika chapati laini na za kuchambuka bila kukanda unga sana/ How to make no knead soft chapatis  👉 Jinsi ya kupika chapati laini sana na...

🔴✅ Jinsi ya kupika cake laini ya kuchambuka / How to make delicious and fluffy cake 👉 Jinsi ya kupika cake laini ya kuchamb...

🔴✅Jinsi ya kuchoma kuku bila kutumia oven wala mkaa / How to roast chicken without oven or charcoal grill 👉 Jinsi ya kuchoma kuku  bila oven wala...

🔴✅jinsi ya kupika pudding ya mchele / Rice pudding 👉 Mapishi ya pudding ya mchele tamu na ...

🔴✅ Jinsi ya kupika mkate wa mchele kwa kutumia unga wa mchele / Rice flour bread 👉  Jinsi ya kupika mkate wa mchele kwa k...

🔴✅ jinsi ya kutengeneza Icing sugar mwenyewe nyumbani / How to make icing sugar at home 👉 Jinsi ya kutengeneza Icing Sugar nyum...
6 سال پیش در تاریخ 1397/10/06 منتشر شده است.
80,046 بـار بازدید شده
... بیشتر