Andika barua 100 ndani ya dakika 1 (Ms Word)

NK- Computer Training
NK- Computer Training
3.2 هزار بار بازدید - 4 سال پیش - Leo tutasoma namna ya kuandika
Leo tutasoma namna ya kuandika barua nyingi katika muda mchache, kwa mfano nataka kutuma barua kwa wazazi wa wanafunzi wako wazazi ni wengi na kila mtu anaishi sehemu yake, ili kuandika barua itakubidi uandike barua kwa idadi ya wazazi wote, lakini kuna njia ya fupi inayokurushusa kuandika barua moja tu kisha ukaituma kwa wazazi wengine pamoja na kutofautiana anuaani zao.

Qoran writer download link (programu ya kuingiza table kwa code) : http://www.mediafire.com/file/w0w8vhg...


Link ya video:
Andika barua 100 ndani ya dakika 1 (M...
---------------------------------------------------------

Pia unaweza kutazama:
Jinsi ya kuweka logo katika bidhaa yoyote
Jinsi ya kuweka logo katika bidhaa yo...

Jifunze computer kutokea zeero
Jifunze computer kutokea zeero
Jinsi ya kutengeneza QR CODES
Jinsi ya kutengeneza QR CODES kiwepesi
Download video ya mtandao wowote Fb,Ytube,insta..nk
Video
Njia mpya ya ku edit PDF kwa PhotoShop (2019)
Njia mpya ya ku edit PDF kwa PhotoSho...
Jifunze kuprinti
Jifunze kuprinti
Yote kuhusu DARK WEB Mtandao wa kiza
Video
-----------------------------------------------------------------------

How to Mail Merge using Word, Excel, & Outlook - Office 365
Word: Mail Merge
Mail Merge Excel Data to Word
How to Mail Merge with Attachments, Custom Subject & CC / BCC - using Word, Excel, & Outlook
MS Word - Mail Merge
Step by Step Mail Merge Wizard in Word 2007 or Word 2010
Learn Mail Merge (Using Word 2016) in 5 minutes
--------------------------------------------------------------------------------
Asante.
4 سال پیش در تاریخ 1399/02/20 منتشر شده است.
3,246 بـار بازدید شده
... بیشتر