Kinara wa Chama cha MDG, David Ochieng’ amepinga mazungumzo ya kitaifa

Citizen TV Kenya
Citizen TV Kenya
3.2 هزار بار بازدید - ماه قبل - Kinara wa Chama cha MDG,
Kinara wa Chama cha MDG, David Ochieng’ amepinga mpango wa serikali wa kufanyika kwa mazungumzo ya kitaifa ili kusuluhisha changamoto zinazokumba taifa na badala yake kumpa rais William Ruto muda wa kufanya mabadiliko yaliyopendekezwa na vijana hao.
ماه قبل در تاریخ 1403/04/26 منتشر شده است.
3,256 بـار بازدید شده
... بیشتر