Makahaba Wanaswa Katika Danguro

Citizen TV Kenya
Citizen TV Kenya
2.5 میلیون بار بازدید - 10 سال پیش - Maafisa wa polisi wamewakamata wanawake
Maafisa wa polisi wamewakamata wanawake 13 kwa kujihusisha na biashara ya ukahaba katika jumba mmoja katika eneo la Adams kwenye barabara ya Ngong kaunti ya Nairobi. Operesheni hiyo iliyoongozwa na maafisa wa polisi wa utawala kutoka Riruta baada ya maafisa hao kupata habari kutoka kwa wanainchi
10 سال پیش در تاریخ 1393/06/30 منتشر شده است.
2,568,941 بـار بازدید شده
... بیشتر