Jinsi ya Kutengeneza FALUDA tamu sana | Mapishi ya Ramadhan #5

Mapishi rahisi
Mapishi rahisi
61.5 هزار بار بازدید - 3 سال پیش - Assalamu aleikum. Recipe ya leo
Assalamu aleikum. Recipe ya leo ni ya Cheese Balls. Ni nzuri sana na rahisi kutengeneza. Na pia ni nzuri sana wakati wa ramadhan

Mahitaji:
6g AGAR AGAR Strips
1 cup hot water / maji ya moto
1 ltr milk / maziwa
3 tbsp sugar / sukari
Rose syrup about 1/2 cup
3 سال پیش در تاریخ 1400/01/28 منتشر شده است.
61,537 بـار بازدید شده
... بیشتر