Jinsi ya kutumia Adobe Photoshop

Jovin Mahizo
Jovin Mahizo
15.4 هزار بار بازدید - 3 سال پیش - Jifunze jinsi ya kutumia adobe
Jifunze jinsi ya kutumia adobe photoshop kuedit picha na kufanya kazi za graphics kwa dakika 30 tu.
kama wewe ni mmoja ya watu amabo wamekuwa wakitamani kujua jinsi ya kutumia photoshop kuedit picha au kufanya kazi za graphics basi hapa umekuja mahali sahihi. nitakuelekeza namna gani unaweza kuielewa na kufanya editing za picha na graphics kwa kutumia adobe photoshop kwa muda mfupi sana.
pia waweza KUSUBSCRIBE  na kuweka notification uweze kupata tutorial zote nitakazoweka ili usipitwe na somo hata moja, share na marafiki pia.


Wasiliana nami kupitia ;-

INSTAGRAM: Joviniens_country_boy
TWITTER: Joviniens_cb



music by: https://www.bensound.com
3 سال پیش در تاریخ 1400/03/03 منتشر شده است.
15,431 بـار بازدید شده
... بیشتر