JINSI YA KUPIKA MAINI YA N'GOMBE MALAINI - KISWAHILI

Aroma Of Zanzibar & Beyond
Aroma Of Zanzibar & Beyond
728.8 هزار بار بازدید - 6 سال پیش - Mahitaji :Maini ya n'gombe  1.5
Mahitaji :

Maini ya n'gombe  1.5 Lb/ 680gms

Kwa kuroweka

Unga wa giligilani - kjk 1 cha chai
Unga wa bizari nzima kjk 1 cha chai
Pilipili ya unga nyekundu - kjk 1 cha chai
Pilipili manga ya unga - kjk 1 cha chai
Chumvi kiasi
Kitunguu thom na tangawizi mbichi - kjk 1 kikubwa
Maji ya ndimu au limao
Mafuta ya hali zetu au yoyote ya kupikia - kjk 1 na nusu

Mahitaji ya mchu
Mafuta ya kupikia vjk 2 vikubwa
Vitunguu maji vilokatwa kiasi kikombe 1
Tomato zilokatwa kiasi kikombe 1
Bizari ya nzima (uzile) ya unga - 1/2 kjk
Bizari ya unga wa giligilani - 1/2 kjk
Kitunguu thom na tangawizi mbici - vjk 2 vidogo


Pili pili boga za rangi - kama utapenda

Majini ya dhania/kotmiri kwa mapambo kama utapenda
Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?searc...

Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukambok...


Music courtesy     SoundCloud: contemplative-middle-east-oud-improvisation

This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world
6 سال پیش در تاریخ 1397/06/29 منتشر شده است.
728,847 بـار بازدید شده
... بیشتر