MAUAJI YA WATOTO, SHAMBA BOY: BABA MZAZI/MWENYEKITI Wasimulia A-Z MAUAJI YALIVYOTEKELEZWA

Global TV  Online
Global TV Online
64.5 هزار بار بازدید - 4 سال پیش - MAUAJI YA WATOTO, SHAMBA BOY:
MAUAJI YA WATOTO, SHAMBA BOY: BABA MZAZI/MWENYEKITI Wasimulia A-Z MAUAJI YALIVYOTEKELEZWA

Dunia haina huruma! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema, kufuatia tukio la kinyama la mauaji ya kutisha ya watoto wawili, yaliyofanywa na Yassin Abdallah, ambaye baadaye naye aliuawa na wananchi wenye hasira kali.

Waandishi Richard Bukos na Hassan Ally wa Global TV Online, wamefuatilia kwa kina tukio hilo la kinyama, kwa lengo la kujua kwa nini Yassin amewatendea ukatili wa kutisha kiasi hicho watoto hao, na kuyakatisha maisha ya malaika hawa kikatili? Hapa wanakuletea undani wake.
Imesomwa na Felista Massae

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvo...

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982),  ( +255 713 837506)
⚫️ Email: [email protected] OR  [email protected]

⚫️ OUR PLAYLISTS:            
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
4 سال پیش در تاریخ 1399/04/23 منتشر شده است.
64,505 بـار بازدید شده
... بیشتر