Jinsi ya kutengeneza keki laini na ya kuchambuka ❗kwa bei nafuu utatengeneza keki kubwa sana 28 cm

Mapishi rahisi
Mapishi rahisi
41.6 هزار بار بازدید - 2 سال پیش - keki ya chokleti iliyo na
keki ya chokleti iliyo na vanilla kati
keki tamu sana
keki laini sana

Mahitaji
siagi kikombe 1
sukari vikombe 2
mayai 6
vanilla vijiko 2 vidogo
unga vikombe 3 na ½ na vijiko 2 vikumba
maziwa kikombe 1
baking powder vijiko 2 vikubwa
cocoa ½ kikombe
Baking tin 28cm
2 سال پیش در تاریخ 1401/05/06 منتشر شده است.
41,638 بـار بازدید شده
... بیشتر