Msambatavangu ataka Rais aunde Wizara itakayohusika na wanaume, ataja sababu za wanawake kutoolewa

Mwananchi Digital
Mwananchi Digital
1.6 هزار بار بازدید - 3 ماه پیش - Mbunge wa Iringa Mjini, Jescar
Mbunge wa Iringa Mjini, Jescar Msambatavangu ameomba Rais aunde Wizara mpya itakayohusika na wanume ikiwemo kuwawezesha wanaume kiuchumi kwani mipango ya Wizara ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imegusa wanawake pekee.

Msambatanagu ameyasema hayo wakati akichangia kwenye makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo Bungeni leo Mei 17,2024, ambapo amesema anataka mpangokazi wa kupunguza ukatili kwa wanaume kutokana na

"Haya mambo ya feminism ndio yanatuletea taabu, yatazidisha ushoga, ulawiti tunataka wanaume wawezeshwe kiuchumi, tunataka mabinti zetu waolewe na wanaume hizi tamaa zao watakwenda kuzipeleka kwa wake zao" amesema Msambatavangu

Aidha pia ameikataa taarifa ya Mabunge wa Nzega Vijijini, Hamis Kigwangala ambaye amesema mipango ya kutetea kundi la wanawake imeundwa kwa sababu sera nyingi zimekuwa zikiandamiza kundi la wanawake kwa muda mrefu kimfumo.
3 ماه پیش در تاریخ 1403/02/28 منتشر شده است.
1,671 بـار بازدید شده
... بیشتر