Bakari Mtumba: Kijana aliyejiajiri kwa kufundisha Kiingereza, amesoma shule za kata, azindua kitabu

Simulizi Na Sauti
Simulizi Na Sauti
5.4 هزار بار بازدید - 2 سال پیش - Kuhusu Kitabu cha English Made
Kuhusu Kitabu cha English Made Easy, Bakari Mtumba anasema:

Huenda hiki ndo kitabu rahisi zaidi cha kujifunzia Kiingereza kuwahi kutoke. Kitabu hiki ni kwa watu wa levels zote wale ambao hawajui kabisa Kiingereza (Beginner), wanaojua kidogo (Intermediate) au wanaojua ila kuna vitu vidogo vinawasumbua (Advanced)

Unaweza kupata nakala yako kwa kupiga namba hii: 0753 544 544
2 سال پیش در تاریخ 1401/05/10 منتشر شده است.
5,420 بـار بازدید شده
... بیشتر