UFUGAJI MSETO WA KUKU KWA KEJI NA UFUGAJI WA SAMAKI

MKULIMA SMART TV
MKULIMA SMART TV
1.4 هزار بار بازدید - پارسال - ENEO LAKO DOGO UNAWEZA KUFANYA
ENEO LAKO DOGO UNAWEZA KUFANYA UFUGAJI MSETO ZUIA MAGONJWA KWA KUTUMIA KEJI ZA LOCAL ENEO LAKO DOGO UNAWEZA KUFUGA KUKU WENGI KEJI ZA TANZANIA UTAONGEZA FAIDA ZA UFUGAJI WA KUKU MWAKA 2023 LOCAL CHICKEN CAGES MADE IN TANZANIA 2023 KEJI ZA MBAO LOCAL KEJI ZA MKULIMA SMART NI MKOMBOZI KWA WAFUGAJI WA KUKU TANZANIA KEJI YA KUKU 2000 YA MTEJA INAVYOZUIA MAGONJWA YA KUKU FAIDA 12 ZA BATTERY CAGE ZINAZOTENGENEZWA NA MKULIMA SMART FAIDA NA HASARA ZA KUTUMIA Battery Cage System - Poultry Farming Equipment ZA KUTOKA CHINA NA LOCAL CAGE/KEJI ZA KUTENGENEZEA TANZANIA UFUGAJI WA KUKU KWA KUTUMIA CAGE/KEJI ZA GHARAMA NAFUU MFUGAJI ANZA KUFUGA KUKU KWA KUTUMIA CAGE/KEJI ZINAZOTENGENEZWA TANZANIA #mkulimasmart #shambadarasa Cage za kuku wa mayai Cages za kuku wa kienyeji CAGE ZA KUKU CHOTARA CAGE ZA KUKU WA NYAMA BROILER Cage za vifaranga Mabanda ya kuku ya mbao bei ya cage za kuku jinsi ya kutengeneza cages za kuku bei za cages za kuku wa mayai wauzaji wa cages tanzania FAIDA 7 ZA KUTUMIA CAGES (Mabanda ya Kisasa) KUFUGIA KUKU. 1. Cages husaidia kuimarisha Afya za kuku wako, wafugaji wengi hawapati matokeo mazuri katika ufugaji wao kwasababau wamepuuzia matumizi ya Cages. Cages husaidia sana kuwatunza kuku katika mazingira mazuri yenye kuimarisha afya zao. Cages zimetengenezwa katika namna ambayo zina sakafu ya wavu, Inamaana kuku wakinya mbolea inaangunga chini na wao wanabaki wasafi, na hii inapeleka kupunguza magonjwa yatokanayo na vidudu vilivyo kwenye mbolea. Hii itapelekea kuku wako kuwa na afya njema zaidi. 2. Cages husaidia Kuongezeka kwa Uzalishaji wa mayai na kuraisiha ukusanyaji wake. Kuku wenye afya wanauwezo mkubwa wa kuzalisha zaidi, mayai au nyama, kama watafugwa kwenye mazingira yenye kujenga afya zao. Kufuga kuku kwenye cages hupelekea ongezeko la uzalishaji wa mayai kwa kiasi kikubwa. 3. Cages husaidia kuwalisha kuku chakula kulingana na mahitaji yao. Mfumo wa ulishaji na unyweshaji wa cages ni mzuri na wakisasa, Mfumo huo huhakikisha kuku wanapata chakula kwa kipimo sahihi kulingana na idadi yao. Hii ni kutokana na sababau kwamba kuku hupata chakula kutoka kwenye bomba lefu na kunywa maji kupitia mfumo wa nipples ambazo zipo karibu yao. 4. Cages hupunguza gharama za wafanyakazi wa kuwahudumia kuku. Kwa kutumia cages ni rahisi zaidi kuwahudumia kuku, kuliko ufugaji wa kawaida. Hii ni kutokana na sababu kwamba kwenye cages kuku wanapangwa kwenye mpangilio maalumu. Katika mistari wakiwa na mfumo mzuri wa chakula na maji, ukusanywaji wa mbolea, na ukusanyaji wa mayai katika sehemu sahihi. Sababu kuu ikiwa ni kwamba kila kitu kimeshapangwa vizuri. Mfanyakazi / wewe mfugaji utakuwa na kazi ya kumimina chakula na maji sehemu husika kwenye cages na kusafisha na kuondoa mbolea na kukusanya mayai tu! Hii itakuondolea msongo wa mawazo wewe mfugaji na kuondoa ulazima ya kuajiri wafanyakazi wengi. 5. Cages husaidia kupunguza kiasi cha chakula kinacho haribika/haribiwa na kuku. Katika cages kuna mfumo mzuri wa chakula na maji amboa husaidia kupunguza kwa kiasi kikubwa mno kiasi cha chakula kinacho haribika. 6. Cages husaidia kutunza kuku wengi katika eneo dogo. Hii inamaana kwamba cages zitakusaidia kupunguza gharama za ujenzi na kuongeza utumiaji wa nafasi iliyopo. Cages zipo cages za Vifaranga 400, Kuku 96, Kuku 128 nk. itategemeana na idadi ya kuku wako. 7. Cages husaidia kupunguza changamoto ya Wizi wa Kuku na Mayai. Hii ni kutokana na urahisi wa kuwahesabu Kuku ndani ya Cages. Hakika Cages zinamanufaa makubwa kwako wewe mfugaji. UFUGAJI WA BROILER KWENYE CAGE UFUGAJI WA KUKU KISASA:Nunua cage za kuku/vifaranga ... taalamu wa mabanda ya kisasa (cages) FAIDA 7 ZA KUTUMIA CAGES (Mabanda ya Kisasa) Punguzo la bei, cages za kufugia kuku - Faida za Kutumia Cages Kufugia Kuku TUNAUZA POULTRY CAGE | CAGE ZA KUFUGIA KUKU WA MAYAI Aina za cage: Zipo cage za kuku 96 na cage za kuku 128 Umuhimu bei za cages za kuku jinsi ya kutengeneza cages wauzaji wa vifaranga vya kuroiler keji za kuku bei ya mabanda ya kuku bei ya kuku wa mayai
پارسال در تاریخ 1402/03/23 منتشر شده است.
1,431 بـار بازدید شده
... بیشتر