Maajabu ya Kyamwilu, Machakos County

NTV Kenya
NTV Kenya
423.7 هزار بار بازدید - 3 سال پیش - Mwaka wa 2012 Daniel Mule
Mwaka wa 2012 Daniel Mule aliangazia eneo hili la Kyamwilu kwenye barabara ya Machakos-Kangundo ambapo kuna nguvu za ajabu zinazovuta vitu kuelekea upande wa juu wa mlima. Hadi sasa wengi hufika pale kujionea 'muujiza' huo ambao umewaacha wanasayansi wakikuna vichwa. Wenyeji wanaihusisha hali hii na simulizi ya mvutano kati ya kaka pacha waliooa mke mmoja. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
3 سال پیش در تاریخ 1400/08/17 منتشر شده است.
423,791 بـار بازدید شده
... بیشتر