"Tukiwasema mnatupeleka Polisi lakini Rais akitukashifu…”-John Heche

Millard Ayo
Millard Ayo
838 هزار بار بازدید - 6 سال پیش - Mbunge wa Tarime vijijini John
Mbunge wa Tarime vijijini John Heche amelalamika ndani ya Bunge kwamba Serikali imekuwa ikiwanyima uhuru wa kuzungumza baadhi ya viongozi na wanachama vya vyama vya upinzani na pale wanaoonekana kuzungumza kwa lengo la kuikosoa Serikali huishia kupelekwa Polisi na Mahakamani.
6 سال پیش در تاریخ 1397/01/23 منتشر شده است.
838,018 بـار بازدید شده
... بیشتر