JPM ‘alipomtwangia’ simu Jafo na kumtaka aanze safari ya kwenda Mkuranga

Azam TV
Azam TV
2.5 میلیون بار بازدید - 4 سال پیش - “Ninataka kesho uje hapa…umenielewa…kesho ninataka
“Ninataka kesho uje hapa…umenielewa…kesho ninataka uje Mkuranga, ufuatilie kero za kituo cha afya…ucheki hizo milioni 400 zimetumikaje…halafu umiambie wapi kwenye mapungufu…na wapi zimeliwa…” _ Rais Magufuli alipompigia simu Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo na kumtaka aende  Wilaya ya Mkuranga  ili ashughulikie kero za huduma za afya wilayani humo.
#JPMMkuranga #JPMNaKeroZaWananchi #RaisMagufuli


Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: Instagram: azamtvtz
►INSTAGRAM: Instagram: azamsports2
►TWITTER: Twitter: azamtvtz
►FACEBOOK: Facebook: azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
4 سال پیش در تاریخ 1399/05/09 منتشر شده است.
2,568,200 بـار بازدید شده
... بیشتر