Kaimati Rahisi sana na Nzuri Mnoo

Malkia Foods
Malkia Foods
10.4 هزار بار بازدید - 8 ماه پیش - Unga Vikombe 3sukari vijiko 5
Unga Vikombe 3
sukari vijiko 5 vya chakula
chumvi 1/2kijiko cha chai
iliki  1kijiko cha chai
hamira 1/2 kijiko cha chakula
baking Powder 1 kijiko cha chai
maziwa mgando vijiko 5 chakula
mafuta ya kupikia vijiko 4 chakula
maji vikombe 2  ( unaweza ongeza 1/2 isipotosha)
8 ماه پیش در تاریخ 1402/09/29 منتشر شده است.
10,494 بـار بازدید شده
... بیشتر