Maisha ya UBUNGO ni NOMA sana | OJ'S TV

OJ'S TV
OJ'S TV
30 بار بازدید - 3 سال پیش - Ni vigumu kuyafahamu yanayoendelea nje
Ni vigumu kuyafahamu yanayoendelea nje ya eneo aunyumba unayoishi,Ubungo ni mtaa maarufu jijini Dar es Salaam ambapo kulikuwa na standi kuu ya mabasi ya Mkoani,lakini pia ni eneo ambalo wameonekana pia watoto wa mitaani wakilala nje na hii kuchukuliwa kama kawaida, Sasa kwa kuangalia video hii utashuhudia pilika za siku nzima katika stendi hiyo maarufu kwa jina la Ubungo, kisha toa maoni yako.
3 سال پیش در تاریخ 1400/03/07 منتشر شده است.
30 بـار بازدید شده
... بیشتر