Mambo Ya Kuzingatia Unapotaka Kununua Gari Lililotumika (USED) Hapa Tanzania | Angalia mpaka mwisho

Traves Senior
Traves Senior
699 بار بازدید - 2 سال پیش - Sio uongo kwamba watu wengi
Sio uongo kwamba watu wengi tumekuwa tukilizwa na kuumizwa linapokuja swala la kutafuta usafiri uliotumika hapa nchini. Sasa leo tumeamua kukuletea Dondoo za muhimu ambazo zitakuongoza kupata usafiri mzuri uliotumika hapa nchini.

Cha Muhimu ni Kunakili hizi dondoo mahali na kuzifanyia kazi. Pia usisahau kunipa mikasa miwili mitatu kwenye Comment section iliyokukuta au iliyomkuta mwenzio alipotaka kununua usafiri uliotumika hapa nchini.

Mwisho kabisa Hakikisha Ume-LIKE hii video na Ume-SUBSCRIBE ili usikose dondoo nyingine tamu na muhimu kwa maisha yetu ya kila siku. Pia Ruksa ku-SHARE kwa watu wengine ili nao wafahamu mambo haya na wasije 'kupigwa'.

#MagariUsed #UsedCars #EpukaMatapeli #YouNeedToKnowThis
2 سال پیش در تاریخ 1401/05/20 منتشر شده است.
699 بـار بازدید شده
... بیشتر