TAMBI ZA NAZI | SPAGETTI | Jinsi ya Kupika Tambi Tamu za Nazi

BelsFarm Kitchen Swahili
BelsFarm Kitchen Swahili
23.5 هزار بار بازدید - 2 سال پیش - Jifunze jinsi ya kupika tambi
Jifunze jinsi ya kupika tambi za Nazi. Hii ni njia rahisi kabisa ya kupika tambi nyumbani. Angalia hatua kwa hatua jinsi ya kupika tambi za nazi. Tambi za Nazi ni tamu Sana na mahitaji yake ni rahisi kwa Kila familia.
MAHITAJI;
Tambi (450g)
Maji ya Moto (lita 2)
Chumvi (kijiko 1 cha chakula)
Mafuta (120ml)
Tui la Nazi zito (200ml)
Njegere (kikombe 1 na nusu)
Karoti (2 kubwa)
Vitunguu (2 vikubwa)
Hoho (1 kubwa)
2 سال پیش در تاریخ 1401/01/30 منتشر شده است.
23,548 بـار بازدید شده
... بیشتر