WALI wa KUKAANGA | Jinsi ya Kupika Wali wa Kukaanga

BelsFarm Kitchen Swahili
BelsFarm Kitchen Swahili
15.6 هزار بار بازدید - 2 سال پیش - Wali wa kukaanga. Jifunze jinsi
Wali wa kukaanga. Jifunze jinsi ya kupika wali wa kukaanga kwa njia rahisi kabisa. Mahitaji yake ni rahisi kwa Kila familia.
MAHITAJI;
Mchele (2 kg)
Maji ( lita 3)
Chumvi ( vijiko 2 vya chakula)
Mafuta ya kupikia (400ml)
2 سال پیش در تاریخ 1401/02/12 منتشر شده است.
15,686 بـار بازدید شده
... بیشتر