Jinsi ya Kupika Keki

Lily Anapika
Lily Anapika
155.3 هزار بار بازدید - 2 سال پیش - Kwenye Kupika Keki Hii ya
Kwenye Kupika Keki Hii ya Vanilla Nimetumia
Margarine/Butter/ Blueband - Nusu kikombe (tumia kimoja wapo
Mafuta ya kupikia - Kikombe 1
Sukari- kikombe 1 na nusu
Mayai 4
Ladha ya Vanilla kijiko 1 kikubwa
Unga wa ngano - vikombe 3
Baking powder - kijiko 1 kikubwa
chumvi - kijiko kidogo 1/4
Buttermilk kikombe kimoja na nusu


Instagram: lilyanapika
2 سال پیش در تاریخ 1401/07/17 منتشر شده است.
155,375 بـار بازدید شده
... بیشتر