HISABATI; Namba Inayokosekana (Kujumlisha), DARASA LA KWANZA

Global TV  Online
Global TV Online
42.4 هزار بار بازدید - 4 سال پیش - #HISABATIHISABATI; Namba
#HISABATI

HISABATI; Namba Inayokosekana (Kujumlisha), Darasa la Kwanza

Katika Jipange na Pepa Project, hivi sasa tunaingia darasani kusoma Somo la Hisabati kwa wanafunzi wa darasa la kwanza, katika mada ya Namba Inayokosekana, ambayo ni msingi mzuri wa kumjenga mtoto kuja kuwa mwanahisabati mzuri katika siku za baadaye.

Programu hii inaendeshwa na Kampuni ya Global Group kupitia magazeti pendwa kwa kushirikiana na Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE) ambapo utakuwa ukiletewa vipindi vya masomo ya darasani kwa njia ya runinga na simu yako ya kiganjani kupitia Global TV.

Mwanafunzi utakuwa na nafasi ya kufundishwa na walimu mahiri kwa kufuatilia vipindi vya masomo mbalimbali, kuanzia shule ya msingi mpaka sekondari. Utafundishwa masomo yote kama vile Hisabati au Mathematics, Biology, Chemistry, Physics, Kiswahili, English, Sayansi, Stadi za Kazi na mengine mengi.

Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
iOS:https://apple.co/38HjiCx

UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE

(+255 784 888982)
                                                                                           
(+255 676 229628)

Email: [email protected]
            [email protected]

HABARI MPYA DAILY:
http://bit.ly/habarimpya

HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua

GLOBAL RADIO TV:
http://bit.ly/255globalradio

EXCLUSIVE INTERVIEW:
http://bit.ly/exclusive_interviews

Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania
http://bit.ly/exclusive_interviews
4 سال پیش در تاریخ 1399/02/10 منتشر شده است.
42,465 بـار بازدید شده
... بیشتر