BATIKI JIFUNZE VIKOI VYA KU PRINT ONLINE NA VITENDO 0679000577

MAISHABORA TV
MAISHABORA TV
3.9 هزار بار بازدید - 3 سال پیش - tunatoa mafunzo ya jinsi ya
tunatoa mafunzo ya jinsi ya kutengeneza vikoi  vya kuprint  ambavyo vinafanya vizuri sana kwa sasa sokoni.
piga 0679000577

mafunzo haya yatakuwezesha kupata ujuzi wa kutengeneza vikoi na havichuji wala rangi kubanduka kwenye kitambaa na namna ya kupunguza garama ya uzalishaji ili kuongeza faida.

pia tunatoa mafunzo ya batiki za kufunga na mshumaa kwa garama nafuu

karibuni
3 سال پیش در تاریخ 1400/03/17 منتشر شده است.
3,970 بـار بازدید شده
... بیشتر