Swahili Donuts (donuts za Kiswahili)

Flavour Of Zinjibar
Flavour Of Zinjibar
7.5 هزار بار بازدید - 4 سال پیش - Unga wa ngano vikombe vitatuSiagi
Unga wa ngano vikombe vitatu
Siagi kikombe kimoja
Sukari kikombe kimoja na nusu
Mafuta lita moja
Maziwa kijiko kimoja cha chakula
Hiliki ya unga kijiko kimoja cha chai
Yai 1
Baking powder kijiko kimoja cha chai
Chumvi ya kunyunyiza (pinch)
Mdalasini wa unga nusu kijiko cha chai
Kungu manga ya unga nusu kijiko cha chai
Arki ya banana na icecream (drops)  unaweza kuweka arki yoyote unopenda
4 سال پیش در تاریخ 1399/03/29 منتشر شده است.
7,520 بـار بازدید شده
... بیشتر