jinsi ya kupika visheti laini vya icing sugar (visheti vya kumung'unyuka)

Mapishi Na Zuu
Mapishi Na Zuu
41.1 هزار بار بازدید - 5 سال پیش - *Unga wa ngano 700g*Siangi 500
*Unga wa ngano 700g
*Siangi 500 gr
*Maziwa ya unga kikombe kimoja
*Castard powder kikombe kimoja
*Mafuta ya kuka kikombe kimoja
*Sukari vijiko viwili
*Arki  unayopenda kijiko kimoja
*Icing sugar kwa kunyunyizia nje
5 سال پیش در تاریخ 1398/03/12 منتشر شده است.
41,181 بـار بازدید شده
... بیشتر