Abdillah, Jabal Hira & Soudkhafa - Maudhi Mwanifanyia (HD - Tamasha Nasheed Video)

Taufiq  Nasheed
Taufiq Nasheed
421.6 هزار بار بازدید - 3 سال پیش - Hii ni Nasheed iliyosomwa na
Hii ni Nasheed iliyosomwa na Kijana Abdillah pamoja na Jabal Hira wakiongozwa na Mwalimu wao Soudkhafa. Nasheed hii imesomwa katika Tamasha linalojulikana kwa jina la Faraja na Tunu ya Abdillah, ambalo limeandaliwa na Taufiq Nasheed Foundation kwa ajili ya ujio Rasmi wa mtoto Abdillah (Mlemavu wa macho) katika tasnia ya Nasheed. Video hii imerikodiwa na kutengenezwa na: Mo Visual 📞 +255 774 088 104 Tafadhali like, share na Subscribe Channel hii... #farajanatunuyaabdillah #abdillah #maudhi #maudhimwanifanyia #soudkhafa #jabalhira #nasheed #zanzibar #islamicsong
3 سال پیش در تاریخ 1400/07/13 منتشر شده است.
421,605 بـار بازدید شده
... بیشتر