Sote tunaweza kutumia uwezo wetu maalum | Kujenga gari la kuruka #mawazo #kufanyakazipamoja

Akili and Me - Kiswahili
Akili and Me - Kiswahili
10.3 هزار بار بازدید - 2 هفته پیش - Jiunge na Akili katika Lala
Jiunge na Akili katika Lala Land yeye na rafiki yake wakitumia talanta zao tofauti kutengeneza gari la kichawi linaloruka!

Karibuni Lala Land, ulimwengu wa maajabu ambapo watoto wa miaka 3-6 watafurahia kuungana na Akili! Watajifunza namba, herufi, kuchora na Kiingereza!

Subscribe kwenye channel hii kupata video bure za kujifurahisha kila wiki kutoka kwa Akili and Me! Edutainment iliyotengenezwa Afrika, kwa Afrika. https://www.seevid.ir/c/AkiliKiswah...

Angalia "Akili and Me": https://www.ubongo.org/shows/showtimes/

http://www.akiliandme.com
Facebook: akiliandme

Akili and Me ni kipindi cha elimu burudani kinachotengenezwa na Ubongo Media.

https://www.ubongo.org

Made possible by the Human Development Innovation Fund, funded by UKAid, Grand Challenges Canada: Saving Brains

#SwahiliAlphabet #Elimu #AkiliandMe
2 هفته پیش در تاریخ 1403/04/11 منتشر شده است.
10,379 بـار بازدید شده
... بیشتر