Vijana kaunti ya Nyamira wameahidi kuendelea kuandamana wakidai uongozi bora

Citizen TV Kenya
Citizen TV Kenya
3.6 هزار بار بازدید - ماه قبل - Vijana kaunti ya nyamira wameahidi
Vijana kaunti ya nyamira wameahidi kuendelea kuandamana wakidai uongozi bora chini ya uongozi wa Gavana Amos Nyaribo. Vijana hawa wakidai kwamba waraka uliowasilishwa na kundi la vijana kwa gavana halikuwakilisha wakaazi.
ماه قبل در تاریخ 1403/05/05 منتشر شده است.
3,658 بـار بازدید شده
... بیشتر