Nilikwenda Mbali sana (38 NW)

Shem Kabanza
Shem Kabanza
1.7 هزار بار بازدید - 4 سال پیش - 38 Nyimbo za wokovu Nilikwenda
38 Nyimbo za wokovu

Nilikwenda mbali sana, ‘kufuata njia mbaya, nikamsahau Yesu anayenipenda sana.

Pambio:
Nina raha na furaha, Yesu alinitafuta, akaniokoa kweli, mimi wake siku zote.


2. Na sikufikiri siku nitakapodhihirishwa mbele ya Mwenyezi Mungu, na kuhukumiwa naye.

3. Dhambi zilinichokesha, nikageukia Mungu, akasema neno nzuri la amani na furaha.

#Nyimbozawokovu
4 سال پیش در تاریخ 1399/09/23 منتشر شده است.
1,786 بـار بازدید شده
... بیشتر