MJUE WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA -KUZALIWA -KUSOMA -SAFARI ya SIASA - "ALIWAHI KUWA KOCHA wa SIMBA"

Global TV  Online
Global TV Online
220.1 هزار بار بازدید - 5 سال پیش - MJUE WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA
MJUE WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA -KUZALIWA -KUSOMA -SAFARI ya SIASA - "ALIWAHI KUWA KOCHA wa SIMBA"...


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, alizaliwa mwaka 1960 katika kijiji cha Nandagara, Kitongoji cha Nanditi (Lideko), wilayani Ruangwa mkoa wa Lindi, kusini mwa Tanzania.

Ni mtoto wa sita kuzaliwa kutoka kwa marehemu Mzee Hamisi Majaliwa.

Aliishi maisha ya ukiwa baada ya Mama yake mzazi, Binasa Issa Chikawe kufariki dunia akiwa bado mdogo, Shangazi yake Sharifa ni miongoni mwa walioshiriki malezi yake baada ya kufiwa na mama yake, aliyekuwa mke mdogo wa marehemu Mzee Hamisi majaliwa Hanga, aliyefariki dunia katika miaka ya 1990.

#PROFILE #KASSIMMAJALIWA

Https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website:

www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
5 سال پیش در تاریخ 1398/03/07 منتشر شده است.
220,168 بـار بازدید شده
... بیشتر