Vijana wameanza kurejesha kumbukumbu ya upigaji picha jijini

Citizen TV Kenya
Citizen TV Kenya
15.9 هزار بار بازدید - پارسال - Kwa wale walioishi Nairobi miaka
Kwa wale walioishi Nairobi miaka ya 80 na 90, ilikuwa ada kuwa kila unapotaka kuumbukumbu, ilikuwa ni lazima upigwe picha maeneo fulani katikati mwa jiji. Pia itakumbukwa kuwa, wapiga picha walikuwa wengi katikati mwa jiji kwa shughuli hizi, haswa siku za wikendi. Na zaidi ya miongo mitatu baadaye, vijana wameanza kurejesha shughuli hii jijini kama njia moja ya kukabiliana na uhaba wa kazi nchini
پارسال در تاریخ 1402/03/10 منتشر شده است.
15,901 بـار بازدید شده
... بیشتر