MEDICOUNTER: HATARI YA KUZIDI KWA KIWANGO CHA ASIDI TUMBONI

Azam TV
Azam TV
69.5 هزار بار بازدید - 5 سال پیش - Unajua kuwa unaweza kupata ugonjwa
Unajua kuwa unaweza kupata ugonjwa wa koo huku chanzo kikiwa ni asidi iliyopo tumboni?
Unakijua kiwango cha kawaida cha asidi kinachopaswa kuwepo tumboni?
Je, matumizi ya dawa za koo bila kujua kuwa chanzo cha ugonjwa kinaweza kuwa wingi wa asidi tumboni kuna madhara gani?
Ungana na Dafrosa Prosper ndani ya Medicounter akijadiliana na daktari bingwa wa magonjwa ya koo, sikio na pua, Goodlove Peter wa hospitali ya Mloganzila.
5 سال پیش در تاریخ 1398/02/02 منتشر شده است.
69,507 بـار بازدید شده
... بیشتر