Kibonge wa Yesu - Niongoze (Official Video Lyrics)

KIBONGE WA YESU
KIBONGE WA YESU
5.8 هزار بار بازدید - 7 ماه پیش - Wanadamu kuna Muda tunajisahau kanakwamba
Wanadamu kuna Muda tunajisahau kanakwamba Hakuna Mungu tunajikuta tunazitumia Hisia na Akili zetu katika Maisha Yetu hivyo tunajikuta Hatupigi hatua kwakuwa tunakuwa hatujampa Mungu Nafasi ya kwanza ya Kuongoza Hatua Zetu. Wimbo huu NIONGOZE, ukabadili Mtazamo wako na Umtegemee Mungu katika Kila Jambo na Mungu akubariki na kukuongoza kwa namna ya Tofauti katika Mwisho mwema wa Mwaka huu 2023 na akupe Mwanzo mpya kwa Mwaka 2024 (Zaburi 119:133-135)

Audio produced by @Kaka Erry & @Walter Chilambo
Visual by @Ap.creative1
Back vocal ‪@WalterChilambo‬
Mungu Akubariki na Kukuhudumia kupitia wimbo huu🙏

Get it on ALL DIGITAL PLATFORMS
Listen to NIONGOZE by Kibonge Wa Yesu
On Boomplay: https://www.boomplaymusic.com/share/m...
On Audiomack: https://audiomack.com/kibonge-wa-yesu...
On Apple Music: AppleMusic: kibonge-wa-yesu

©2023 KiboMelodies. All rights Reserved.

#KibongewaYesu #Niongoze
7 ماه پیش در تاریخ 1402/10/08 منتشر شده است.
5,893 بـار بازدید شده
... بیشتر