Kutana na Elisalia Swai, Mfugaji wa samaki sato, jinsi anavyo endesha, mradi wake kisasa.

Digital farms
Digital farms
49 هزار بار بازدید - 6 سال پیش - Ufugaji wa samaki umekuwa ukija
Ufugaji wa samaki umekuwa ukija kwa kasi, kutokana na mahitaji ya protini katika miili yetu na kufanya uhitaji wake sokoni kuwa mkubwa,na kufanya wazalishaji wa samaki kupata faida nzuri, kupitia miradi yao.
6 سال پیش در تاریخ 1397/02/08 منتشر شده است.
49,036 بـار بازدید شده
... بیشتر