Jaji George Odunga amtoza faini waziri Fred Matiang'i, Joseph Boinnet na Gordon Kihalangwa

KTN HOME
KTN HOME
326 بار بازدید - 6 سال پیش - Jaji wa mahakama kuu George
Jaji wa mahakama kuu George Odunga amemtoza faini waziri wa usalama Fred Matiang'i, Inspekta mkuu wa polisi Joseph Boinnet na katibu wa uhamiaji Gordon Kihalangwa kwa kukiuka agizo la mahakama kuhusu wakili anayekumbwa na
utata Miguna Miguna. Faini hiyo ya shilingi laki mbili kwa kila mmoja itatolewa kwenye mishahara yao.


SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: ktnclassics

Follow us on Twitter: Twitter: KTNNews  

Like us on Facebook: Facebook: KTNNewsKenya

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android

KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
6 سال پیش در تاریخ 1397/01/09 منتشر شده است.
326 بـار بازدید شده
... بیشتر