Wakili wa Mbowe azungumza, Sakata la fidia.

Land Dwellers
Land Dwellers
2.4 هزار بار بازدید - 2 هفته پیش - Kufuatia hatua ya Mwenyekiti wa
Kufuatia hatua ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Freeman Mbowe kudai fidia ya Shilingi Bilioni 5 za Kitanzania na kuombwa radhi na Mchungaji Peter Msigwa kwa madai ya kumchafua, Land Dwellers imefanya mahojiano na Wakili wa Freeman Mbowe, Hekima Mwasipu kuangalia suala hili kwa undani zaidi, Sikiliza mahojiano haya. #chadema #bavicha #bawacha
2 هفته پیش در تاریخ 1403/06/16 منتشر شده است.
2,494 بـار بازدید شده
... بیشتر