NTEMI EP18 S02 || Swahili Movie || Bongo Movies Latest || African Latest Movies

kapaayathegreat films
kapaayathegreat films
26.9 هزار بار بازدید - 2 سال پیش - Huu ni mwendelezo wa filamu
Huu ni mwendelezo wa filamu ya NTEMI na hii ni Season 2. Ni moto!. Endelea kuifuatilia hautajuta!

NTEMI ni moja kati ya filamu bora za  Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie nchini Tanzania.

NTEMI ni kijana wa Kisukuma mwenye juhudi katika ufugaji wa Ng'ombe. Tatizo lake anathamini sana Ng'ombe kuliko hata mwanae kumsomesha.
Kupitia series hii Swahili Movie /Bongo Movies utajifunza zaidi kuhusiana na kabila la Kisukuma pamoja na makabila mengine yanayowazunguka Wasukuma.
Hakika utajifunza kitu kikubwa.

Hii ni moja kati ya Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania series itakayokujia kila Alhamisi saa Tisa na Nusu Alasiri.

Endelea kufuatilia hadi mwisho,usisahau kulike,share zaidi kusubscribe.

Tunaomba support yako kwa kushare kwa wengine, ila zaidi uendelee kujifunza kupitia filamu zetu za Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania. WE LOVE YOU ALL. ...........................................................................................................................................................................................
KAPAYA THE GREAT FILM
Contact:
0655 218 331/0753 318 331
email. [email protected]
Instargram
Kapayathegreat
TANZANIA.
2 سال پیش در تاریخ 1401/11/13 منتشر شده است.
26,995 بـار بازدید شده
... بیشتر