MWANAMKE MLEMAVU ALIYEPAMBANA HADI KUWA KATIBU MKUU WA WIZARA

Global TV  Online
Global TV Online
622 بار بازدید - 5 سال پیش - MWANAMKE MLEMAVU ALIYEPAMBANA HADI KUWA
MWANAMKE MLEMAVU ALIYEPAMBANA HADI KUWA KATIBU MKUU WA WIZARA

Kwa miaka ya sasa walemavu wanapewa kipaombele ukilinganisha na miaka ya nyuma , kwani kumekuwa na malalamiko ya watoto wenye ulemavu kufungiwa ndani kutokana na familia nyingi  kuamini kuwa watoto hao wana nuksi badala ya Baraka.

Kulemaa viungo hakumaanishi kulemaa akili, hilo linathibitishwa na bi jesephta mukobe , ambaye kwa sasa ni katibu mkuu wa wa wizara ya michezo , utamaduni na urithi  nchini kenya

Pamoja  na ulemavu aliozaliwa nao jesephta , wazazi wake hawakuwahi kumchukulia kama ni nuksi kwenye familia badala yake walihakikisha anatimiza ndoto zake kutokana na kuwa hakuna aliyeomba kuumbwa mlemavu.


YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
---------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY:
https://www.youtube.com/playlist?list...

HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
https://www.youtube.com/playlist?list...

GLOBAL RADIO TV:
https://www.youtube.com/playlist?list...

EXCLUSIVE INTERVIEWS:
https://www.youtube.com/playlist?li
5 سال پیش در تاریخ 1398/07/23 منتشر شده است.
622 بـار بازدید شده
... بیشتر