Former Treasury CS Ukur Yattani denies any involvement in Telkom saga.

RADIO JANGWANI 106.3FM
RADIO JANGWANI 106.3FM
872 بار بازدید - 8 ماه پیش - ALIYEKUWA waziri wa fedha Ukur
ALIYEKUWA waziri wa fedha Ukur Yattani amesema uchunguzi wa sakata ya kampuni ya mawasiliano wa telkom haimtishi wala kumuogofya kwa vyovyote kwani anafahamu kuwa hana kosa lolote.
Akizungumza na Radio Jangwani baada ya kuhudhuria misa ya krismasi katika kanisa kuu la katoliki mjini Marsabit Ukur amesema kuwa madai yanayoenezwa hayamhusu kwani chochote kilichofanyika wakati huo haukuwa uamuzi wake bali ulikuwa uamuzi wa barza kuu la usalama nchini ukiongozwa na rais mstaafu uhuru Kenyatta.
8 ماه پیش در تاریخ 1402/10/04 منتشر شده است.
872 بـار بازدید شده
... بیشتر