Maofisa 6 Wa Polisi Watekwa Nyara

Citizen TV Kenya
Citizen TV Kenya
748 بار بازدید - 11 سال پیش - Wanamgambo wa Al Shabaab wamekiri
Wanamgambo wa Al Shabaab wamekiri kutekeleza shambulizi katika mji wa Liboi ambapo watu sita waliuwawa wakiwemo maafisa wawili wa polisi. Maiti za watu wanne waliouwawa katika shambulizi hilo zimesafirishwa hadi mjini Nairobi. Watu hao wakiwemo maafisa wawili wa polisi, afisa mmoja wa Shirika la Msalaba Mwekundu na raia wawili waliuwawa katika shambulizi kwenye vituo viwili vya polisi na wanamgambo wanaoaminika kuwa wanachama wa Al Shabaab. Licha ya kuiba bunduki kadhaa, wanamgambo hao waliwateka nyara maafisa wengine 6 wa polisi.
11 سال پیش در تاریخ 1392/03/05 منتشر شده است.
748 بـار بازدید شده
... بیشتر