TIBA YA ASILI YA MALARIA

Afya Yako
Afya Yako
3.3 هزار بار بازدید - 3 سال پیش - Kuna mambo yawezekana yanakutesa kwa
Kuna mambo yawezekana yanakutesa kwa sababu tu hauna maarifa yake. Kwenye video hii nakuelezea kinga na tiba ya asili ya malaria ambayo pengine ulikuwa hauijui na yamkini ukiijua inaweza kuwa msaada kwako. Lakini pia kupitia video hii nimeelezea kuhusu kinga dhidi ya ugonjwa huu wa malaria na namna unavyoweza kuzuia mbu wanaoeneza ugonjwa huu wa malaria. Ni matumaini yangu video hii itakuwa msaada kwako.
3 سال پیش در تاریخ 1400/05/11 منتشر شده است.
3,387 بـار بازدید شده
... بیشتر