SHAMBA LA MIZABIBU

RAJO PRODUCTIONS
RAJO PRODUCTIONS
2.8 میلیون بار بازدید - 3 سال پیش - Kwaya ya Bikira Maria Mama
Kwaya ya Bikira Maria Mama Wa Rozari Takatifu (BMM - Olkokola) kutoka Parokia teule ya Mt. Yohane Mtume - Olkokola, Jimbo Kuu Katoliki la Arusha.


Wanatukaribisha kusikiliza na kutazama wimbo wao Mpya ulio miongoni mwa nyimbo nyingine katika Album yao itakayokujia hivi karibuni.


Audio na Video vimefanyika katika studio za RAJO Productions



Ungependa kufanya nao kazi au uwe wakala wa kuisambaza kazi hii?
Wasiliana nao leo kwa namba hizi +255 788 013 959 au +255 752 631 092


#rajoproductions  #miminaneema  #kwayakatoliki
3 سال پیش در تاریخ 1400/05/22 منتشر شده است.
2,847,065 بـار بازدید شده
... بیشتر